World Kiswahili Language Day Celebrations Marked On The 7th July 2022

World Kiswahili Language Day Celebrations Marked On The 7th July 2022

National Museums of Kenya in collaboration with the Ministry of Sports, Culture and Heritage, Ministry of Tourism and Wildlife, Ministry of Education, different state agencies, institutions of higher learning (University of Nairobi), Kenya National Commission for UNESCO (KNATCOM), Non- Governmental Organizations (NGOs) as well as diplomatic missions lead the celebrations to mark the World Kiswahili Language Day on Thursday, 7th July, 2022 from 10.am.

July 7th each year is recognized as the World Kiswahili Language Day as declared by UNESCO member states in its 41st session in Paris 2021.

The celebration was flagged off from KICC by the Cabinet Secretaries for Sports, Culture and Heritage, Ministry of Tourism and Wildlife and Ministry of Education that culminated at Nairobi National Museum where Swahili exhibitors procured to display their wares that are Swahili centric ranging from food, clothing, architecture, books and so much more which was open to the public.

On this day all guests were asked to give Kiswahili prominence as the official language of communication.

Guest came out in large numbers and we dressed in Swahili and African attire.

 

Shirika la Makavazi ya Kitaifa wakiungana na Wizara ya Michezo, Utamaduni na Turathi, Wizara ya Elimu, Wizara ya Utalii na Wanyamapori na mashirika mbalimbali za serikali, mashirika za elimu kama vile Chuo Kikuu cha Nairobi, Makavazi ya Kitaifa ya Kenya, Tume ya Kitaifa ya Kenya UNESCO (KNATCOM), Mashirika yasio ya kiserikali na balozi tofauti tofauti ziliongoza maadhimisho ya siku ya Kiswahili duniani Julai 7, 2022 kuanzia saa nne asubuhi kutoka jumba KICC hadi Makavazi ya Kitaifa ya Kenya.

Julai 7, kila mwaka imeidhinishwa kuwa siku ya Kiswahili duniani jinsi nchi wanachama wa UNESCO kupitia kipindi cha 41 iliofanyika Paris mwaka wa 2021.

Msafara iliaanzishwa kwenye jumba la KICC na Waziri wa Michezo, Utamaduni na Turathi, Waziri wa Utalii na Wanyamapori na Waziri wa Elimu na kumalizikia katika Makavazi ya Kitaifa ya Kenya.

Waonyeshaji wa Kiswahili yalioidhinishwa wataweka mapango yao ya vitu mbalimbali kama vile vyakula, mavazi, usanifu, vitabu na vinginevyo kwa uma. Wafanyikazi wa shirika la Makavazi ya Kitaifa watapea Kiswahili kipaumbele kupitia mavazi yao ya Kiafrika.

Ni wito wetu kwamba hii siku mtakuwa mkiipa kipaumbele.

 

Contact The National Museums of Kenya on +254203742131

www.museums.or.ke

Sharing is Caring :)